Date: 
18-04-2017
Reading: 
Isaiah 25:9-10 (New International Version)

TUESDAY 18TH APRIL 2017 MORNING                                       

Isaiah 25:9-10 New International Version (NIV)

In that day they will say,

“Surely this is our God;
    we trusted in him, and he saved us.
This is the Lord, we trusted in him;

    let us rejoice and be glad in his salvation.”

10 The hand of the Lord will rest on this mountain;
    but Moab will be trampled in their land
    as straw is trampled down in the manure.

Let us continue to trust in God every day. Let us commit all our ways into His hands. Let us praise God for our salvation.

JUMANNE TAREHE 18 APRILI 2017 ASUBUHI                         

ISAYA 25:9-10

9 Katika siku hiyo watasema, Tazama, huyu ndiye Mungu wetu, Ndiye tuliyemngoja atusaidie; Huyu ndiye Bwana tuliyemngoja, Na tushangilie na kuufurahia wokovu wake. 
10 Kwa maana mkono wa Bwana utatulia katika mlima huu, na Moabu atakanyagwa chini huko aliko, kama vile majani makavu yakanyagwavyo katika maji ya jaa. 
 

Tuendelea kumtegemea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yetu. Tumtegemee kila siku na kila mahali ili aongoze maisha yetu. Tumshukuru sana kwa wokovu wetu.