Date: 
22-06-2017
Reading: 
Ezra 10:4

THURSDAY 22ND JUNE 2017 MORNING                            

Ezra 10:4 New International Version (NIV)

Rise up; this matter is in your hands. We will support you, so take courage and do it.”

With these words Ezra encouraged the people to repent of   their sins and turn back to God. He called them to rebuild their nation physically and spiritually.

Many people attend church services but they don’t want to get involved in any position of leadership or responsibility in the church.

Let us know that we should be prepared to give our time, money and energy to build God’s kingdom. Let us get involved and encourage one another.

ALHAMISI TAREHE 22 JUNI 2017  ASUBUHI                

EZRA 10:4

4 Inuka; maana shughuli hii yakuhusu wewe; na sisi tu pamoja nawe; uwe na moyo mkuu, ukaitende. 
  

Ezra alisihi Waisraeli kutubu dhambi zao na kumrejea Mungu. Pia alitaka waijenge taifa lao kimwili na kiroho.

Tusione kwamba sisi ni Wakristo tu wa kawaida. Kuhudhuria ibada tu haitoshi. Unapaswa kuwa tayari kujenga Ufalme wa Mungu kwa njia ya muda  na nguvu zako na sadaka zako. Kazi hii inahakuhusu.