Date: 
26-06-2018
Reading: 
Exodus 23:1-9 (Kutoka 23:1-9)

TUESDAY 26/6/2018

Exodus 23:1-9 New International Version (NIV)

Laws of Justice and Mercy

1 “Do not spread false reports. Do not help a guilty person by being a malicious witness.

“Do not follow the crowd in doing wrong. When you give testimony in a lawsuit, do not pervert justice by siding with the crowd, and do not show favouritism to a poor person in a lawsuit.

“If you come across your enemy’s ox or donkey wandering off, be sure to return it. If you see the donkey of someone who hates you fallen down under its load, do not leave it there; be sure you help them with it.

“Do not deny justice to your poor people in their lawsuits. Have nothing to do with a false charge and do not put an innocent or honest person to death, for I will not acquit the guilty.

“Do not accept a bribe, for a bribe blinds those who see and twists the words of the innocent.

“Do not oppress a foreigner; you yourselves know how it feels to be foreigners, because you were foreigners in Egypt.

Our God is just and merciful. He wants us to be the same. In the above verses sometimes the limits set seem to be over what most will bear, but that's what we should strive for as it is the word of God.

JUMANNE TAREHE 26/6/2018

KUTOKA 23:1-9

Haki na usawa

1“Usitoe habari za uongo. Usishirikiane na mtu mwovu ili kuwa shahidi mbaya. 2Usifuate genge la watu kutenda uovu, wala usijumuike na genge la watu kutoa ushahidi mahakamani ili kupotosha haki. 3Taz Lawi 19:15 Usiwe na upendeleo katika kesi ya maskini.

4“Ukimkuta ng'ombe au punda wa adui yako amepotea, utamrudishia mwenyewe. 5Ukimwona punda wa mtu anayekuchukia ameanguka na mzigo wake, msaidie mtu huyo kumsimamisha punda wake, wala usimwache na kwenda zako.

6“Usiipotoshe haki anayostahili maskini katika kesi yake. 7Jitenge mbali na mashtaka ya uongo wala usiwaue wasio na hatia na waadilifu, maana mimi sitamsamehe mtu mwovu. 8Usipokee rushwa, maana rushwa huwapofusha wakuu na kupotosha mambo ya wenye haki.

9“Usimdhulumu mgeni; nyinyi mwajua hali ya kuwa mgeni, maana mlikuwa wageni nchini Misri.

Mungu wetu ni wa haki na mwenye huruma. Anataka sisi kuwa sawa. Katika mistari hapo juu wakati mwingine mipaka imeonekana kuwa juu ya kile ambacho wengi wanaona vigumu, lakini ndivyo tunapaswa kujitahidi kwa maana ni neno la Mungu.