Date: 
28-06-2018
Reading: 
Exodus 21:8-13 (Kutoka 21:8-13)

THURSDAY 28th JULY 2018

Exodus 21:8-13 New International Version (NIV)

If she does not please the master who has selected her for himself,[a] he must let her be redeemed. He has no right to sell her to foreigners, because he has broken faith with her. If he selects her for his son, he must grant her the rights of a daughter. 10 If he marries another woman, he must not deprive the first one of her food, clothing and marital rights. 11 If he does not provide her with these three things, she is to go free, without any payment of money.

Personal Injuries

12 “Anyone who strikes a person with a fatal blow is to be put to death. 13 However, if it is not done intentionally, but God lets it happen, they are to flee to a place I will designate.

Footnotes:

  1. Exodus 21:8 Or master so that he does not choose her

In the above verses, God gave his nation Israel rules to live by. God has given us the Ten Commandments to live by. When Jesus was asked which of the ten is the biggest he said "Love your God with all your heart and strength, and love your neighbour as yourself" In this we see the biggest commandment is 'to love'

ALHAMISI TAREHE 28/06/2018

KUTOKA 21:8-13

8 Kwamba bwana wake hakupendezewa naye, akiwa amemposa, ndipo atakubali akombolewe; hana amri yeye kumwuza aende kwa watu wageni maana amemtenda kwa udanganyifu.
9 Kwamba amposa mwanawe, atamtendea kama desturi zipasazo binti zake.
10 Kwamba ajitwalia mke mwingine, chakula chake huyo, na nguo zake, na ngono yake, hatampunguzia.
11 Kwamba hamfanyii mambo haya matatu, ndipo atatoka aende bure, pasipo kutolewa mali.
12 Mtu awaye yote ampigaye mtu, hata akafa, hana budi atauawa huyo.
13 Lakini kama hakumvizia, ila Mungu amemtia mkononi mwake; basi nitakuonyesha mahali atakapopakimbilia.

Katika mistari hapo juu, Mungu aliwapa taifa lake Israeli sheria za kufuata. Sisi wa leo Mungu ametupa Amri Kumi za kufuata. Wakati Yesu aliulizwa ni ipi kati amri zote ni kuu zaidi alisema "Mpende Mungu wako kwa moyo wako wote na nguvu zako, na mpende jirani yako kama nafsi yako" Hapa tunaona amri kuu ni 'Upendo'