Date: 
18-07-2018
Reading: 
Ephesians 2:8-9 (Waefeso 2:8-9)

WEDNESDAY 18TH JULY 2018 MORNING EPHESIANS 2:8-9

Ephesians 2:8-9 New International Version (NIV)

8 For it is by grace you have been saved, through faith—and this is not from yourselves, it is the gift of God— 9 not by works, so that no one can boast.

It is indeed by Grace that we are saved. We receive this gift of grace through faith. Let us think about this. Let us give thanks to God for our salvation. It is the great love of God for us which caused Him to give His only son to die for us. Let us be humble and service God with thankfulness.  

 

JUMATANO TAREHE 18 JULAI 2018 ASUBUHI EFESO 2:8-9

Efeso 2:8-9 Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; 

9 wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu. 

 

Tutafakari kuhusu Neema ya Mungu. Ni ajabu jinsi Mungu anatupenda na kutoa mwanaye wa pekee kutufia msalabani. Ni kwa neema tumeokolewa. Tunapewa zawadi ya neema kwa njia ya imani. Tuwe wanyenyekevu hatuna kitu cha kujivunia. Tumtumikia Mungu kwa shukrani.