Date: 
12-05-2018
Reading: 
Ephesians 1:20-23 (Waefeso 1:20-23)

SATURDAY 12TH MAY 2018 MORNING
Ephesians 1:20-23 New International Version (NIV)
20 he exerted when he raised Christ from the dead and seated him at his right hand in the heavenly realms, 21 far above all rule and authority, power and dominion, and every name that is invoked, not only in the present age but also in the one to come. 22 And God placed all things under his feet and appointed him to be head over everything for the church, 23 which is his body, the fullness of him who fills everything in every way.

Christ has been lifted up to a place of honour in  heaven. He is Lord and head of the Church. Let us truly honour Christ in our daily lives and in our church services and activities.
Christ is worthy of all our praise and adoration.


JUMAMOSI TAREHE 12 MEI 2018 ASUBUHI                           
Efeso 1:20-23
20 aliotenda katika Kristo alipomfufua katika wafu, akamweka mkono wake wa kuume katika ulimwengu wa roho; 
21 juu sana kuliko ufalme wote, na mamlaka, na nguvu, na usultani, na kila jina litajwalo, wala si ulimwenguni humu tu, bali katika ule ujao pia; 
22 akavitia vitu vyote chini ya miguu yake, akamweka awe kichwa juu ya vitu vyote kwa ajili ya kanisa; ambalo 
23 ndilo mwili wake, ukamilifu wake anayekamilika kwa vyote katika vyote.
 
Yesu Kristo ameinuliwa juu. Yupo Mbinguni. Yesu amepewa mamlaka zote mbinguni na duniani. Yesu ni mkuu wa Kanisa. Tumheshimu katika maisha yetu kila siku na katika kanisa. Tumsifu katika ibada zetu na tuminua Kristo katika mipango yote ya Kanisa.