Date: 
18-01-2019
Reading: 
Ecclesiastes 12:13-14 (Mhubiri 12:13-14)

FRIDAY 18TH JANUARY 2019 MORNING                          

Ecclesiastes 12:13-14 New International Version (NIV)

13 Now all has been heard;
    here is the conclusion of the matter:
Fear God and keep his commandments,

    for this is the duty of all mankind.
14 For God will bring every deed into judgment,
    including every hidden thing,
    whether it is good or evil.

We are saved by grace through faith in Christ but this doesn’t mean that we can just do what we like. It Does matter what we do. Let us follow God’s commandments and live to please Him.

IJUMAA TAREHE 18 JANUARI 2019 ASUBUHI                   

MHUBIRI 12:13-14

13 Hii ndiyo jumla ya maneno; yote yamekwisha sikiwa; Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, Maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu. 
14 Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au likiwa baya.

Tunaokolewa kwa neema kwa njia ya imani katika Yesu Kristo. Lakini si kwamba tuna ruhusa ya kuishi jinsi tunavyojisikia. Tufuate amri za Mungu.