Mchungaji Charles Mzinga ahudumu mtaa wa Tabora, apokea mavuno
Ziara za kuhudumu katika mitaa zinarejea baada ya kusimama kupisha janga la Covid-19
Tabora ni mtaa wa pili kutembelewa baada ya Viwege
Zechariah 8:1-8 - 25-09-2020
Let's be a blessing to others. Tuwe baraka kwa watu wengine. /Pastor J Mlaki
Luke 12:1-7 - 24-09-2020
God has ultimate power over the life and death. Mungu anazo nguvu na mamlaka juu ya maisha na kifo. /Pastor J Mlaki
2 Corinthians 11:16-33 - 23-09-2020
A follower of Christ needs to be humble and ready to serve others. Mfuasi wa Yesu anapaswa kuwa mnyenyekevu na tayari kuwahudumia wengine.
2Chronicles 30:13-20 (2 Nyakati 30:13-20) - 22-09-2020
Come to God with a broken heart. Njoo kwa Bwana na moyo uliovunjika. /Pastor J. Mlaki
Luke 16:1-9 - 17-09-2020
Christians ought to help the poor. Wakristo wanapaswa kuwasaidia masikini. /astor J.Mlaki
MARKO 12:41-44 - 16-09-2020
It is not how much we give that matters, but how we give. Haijalishi ni kiasi gani tunamtolea Mungu, bali ni kwa namna gani tunamtolea.../Pastor J Mlaki.
LUKE 12:13-22 - 14-09-2020
To be rich means to be thankful to God for the blessings. Utajiri maana yake ni kuwa na shukrani kwa Mungu kwa baraka alizotupa. /Pastor J Mlaki
Deuteronomy 24:14-15 - 12-09-2020
Treat your workers well. Watendee wafanyakazi wako haki.../Pastor J. Mlaki
Matthew 5:38-42 - 11-09-2020
The fruits of the Spirit are born in our lives. Tunda la Roho linazaliwa maishani mwetu..../Pastor J. Mlaki
Matthew 12:46-50 - 09-09-2020
Brothers & Sisters in Christ are one family. Katika Yesu Kristo sisi ni familia moja.../Pastor J. Mlaki
Romans 13:8-10 (Warumi) - 07-09-2020
Love fulfills the law completely. Upendo unatimiza sheria kikamilifu./..Pastor J. Mlaki
- 1 of 2
- next ›