Date: 
11-09-2020
Reading: 
Matthew 5:38-42

FRIDAY 11TH SEPTEMBER 2020 MORNING                                                       

Matthew 5:38-42 New International Version (NIV)

38 “You have heard that it was said, ‘Eye for eye, and tooth for tooth.’[h] 39 But I tell you, do not resist an evil person. If anyone slaps you on the right cheek, turn to them the other cheek also. 40 And if anyone wants to sue you and take your shirt, hand over your coat as well. 41 If anyone forces you to go one mile, go with them two miles. 42 Give to the one who asks you, and do not turn away from the one who wants to borrow from you.

As believers, we still have a flesh that wants to fight for our rights—it desires to hold grudges and seek revenge. However, as we live a life of the Spirit, by obeying God and abiding in him, the fruits of the Spirit are born in our lives: love, joy, peace, patience, perseverance, goodness, etc. (Galatians 5:22-23)


IJUMAA TAREHE 11SEPTEMBA 2020  ASUBUHI                                        

MATHAYO 5:38-42

38 Mmesikia kwamba imenenwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino;
39 Lakini mimi nawaambia, Msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kuume, mgeuzie na la pili.
40 Na mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia.
41 Na mtu atakayekulazimisha mwendo wa maili moja, nenda naye mbili.
42 Akuombaye, mpe; naye atakaye kukopa kwako, usimpe kisogo.

Wakristo bado tunaishi na mwili ambao unapenda kupigania haki zetu, na tunapopatwa na uchungu, tunatamani kulipiza kisasi. Hata hivyo, tunapoishi maisha ya kiroho, kumtii Mungu na kumfuata, tunda la Roho linazaliwa maishani mwetu: upendo, Furaha, amani, subira, uvumilivu, na utu wema, nk. (Wagalatia 5:22-23).