Psalm 103:8-13, 2 John 1:4-5, Matthew 18:1-10 - 30-09-2018
Jesu loves Children. Yesu apenda watoto. {Pastor P. chuwa}
Jumapili ya tarehe 2/9/2018, Askofu Malasusa aliwabariki na kuwaingiza rasmi kazini wazee wa baraza kwa kipindi cha 2018-2022. Aidha katika ibada ya asubuhi viongozi wote wa vikundi walibarikiwa na kuingizwa rasmi kazini.