The Magi showed great honour to Christ. They went a long way to find Him. They worshipped Him though He was only a baby...Mamajusi walikuwa na bidii kumtafuta Kristo. Walisafiri kutoka mbali. Waliabudu na kumsujudu pamoja na alikuwa mtoto mdogo.
After Stephen the First Christian Martyr was killed the church suffered great persecution...Baada ya kuuwawa kwa Stephano, Mfia dini Mkristo wa kwanza, kanisa lilipata mateso sana.
God made the world and He cares for all His creation. God loves us and we are precious to Him. ...Mungu aliumba ulimwengu na anatunza uumbaji wake. Mungu anapenda kila kiumbe na hasa sisi wanaadamu.
God spoke to Joseph to guide him in his life. God spoke to him through and angel and through a dream to guide and warn him. ..Mungu aliongea na Yusufu kumwongoza na kumwonya. Mungu alitumia malaika na ndoto pia.
This letter was written about 60AD to Christians scattered in various provinces in the Middle East. ..Waraka huu uliandikwa na Mtume Petro mnamo 60 BK. Aliandikia Wakristo kule Asia ambao walipata mateso kwa ajili ya imani yao.
Happy Christmas. Today we celebrate the birth of our Saviour Jesus Christ..Heri ya Kristmasi. Leo tumesoma tabiri ya Nabii Isaya kuhusu Mesihi Yesu Kristo.
Happy Christmas. Today we celebrate the birth of our Saviour Jesus Christ..Heri ya Kristmasi. Leo tumesoma tabiri ya Nabii Isaya kuhusu Mesihi Yesu Kristo.
This evening we will gather together in church to remember the birth of our Lord Jesus Christ over 2000 years ago in a stable in Bethlehem. ....Leo jioni tutakusanyika pamoja kanisani kukumbuka kuzaliwa kwa Yesu Kristo Mwokozi wetu, zaidi ya miaka 2000 iliyopita kule Bethlehemu.
We all like to hear good news. These are words of encouragement to God’s people...Sisi sote tunapenda habari njema. Maneno haya ni maneno ya kututia moyo watu wa Mungu.
The Apostle John begins his first letter in a similar way to that in which he begins his Gospel. He talks about the beginning...Lugha ya mwanzo wa Waraka huu wa kwanza wa Yohana inafanana na ile katika mistari ya kwanza ya Injili ya Yohana. Anaeleza kuhusu Yesu Kristo aliyekuwepo tangu mwanzo.
John the Baptist was chosen by God to prepare the way for the coming of Jesus Christ. ..Yohana alichaguliwa na Mungu kabla ya kuzaliwa kuwa mtangulizi kuandaa njia kwa Yesu Kristo.