Date: 
26-07-2018
Reading: 
Amos 9:11-15

 THURSDAY 26TH  JULY 2018                                                  

Amos 9:11-15 New International Version (NIV)

Israel’s Restoration

11 “In that day

“I will restore David’s fallen shelter—
    I will repair its broken walls
    and restore its ruins—
    and will rebuild it as it used to be,
12 so that they may possess the remnant of Edom
    and all the nations that bear my name,[a]
declares the Lord, who will do these things.

13 “The days are coming,” declares the Lord,

“when the reaper will be overtaken by the plowman
    and the planter by the one treading grapes.
New wine will drip from the mountains
    and flow from all the hills,
14     and I will bring my people Israel back from exile.[b]

“They will rebuild the ruined cities and live in them.
    They will plant vineyards and drink their wine;
    they will make gardens and eat their fruit.
15 I will plant Israel in their own land,
    never again to be uprooted
    from the land I have given them,”

   says the Lord your God.

Footnotes:

  • Amos 9:12 Hebrew; Septuagint so that the remnant of people / and all the nations that bear my name may seek me
  • Amos 9:14 Or will restore the fortunes of my people Israel

The Israelites were sent into exile in a foreign land. God allowed this as punishment for their sins and rebellion. Now God speaks words of forgiveness to them. God promises to restore the people to their land and bless them.

God is very gracious to us. He does not treat us as we deserve. He is longing to welcome us back when we have rebelled. Don’t harden your heart. Repent of your sins and come back to God. 

ALHAMISI TAREHE 26 JULAI 2018 ASUBUHI                                    

AMOSI 9:11-15

11 Siku hiyo nitaiinua tena maskani ya Daudi iliyoanguka, na kuziba mahali palipobomoka; nami nitayainua magofu yake, na kuyajenga kama siku za kale; 
12 wapate kuyamiliki mabaki ya Edomu, na mataifa yote yaitwayo kwa jina langu, asema Bwana, afanyaye hayo. 
13 Angalieni, siku zinakuja, asema Bwana, ambazo huyo alimaye atamfikilia avunaye, na yeye akanyagaye zabibu atamfikilia apandaye mbegu; nayo milima itadondoza divai tamu, na vilima vyote vitayeyuka. 
14 Nami nitawarejeza tena watu wangu Israeli waliohamishwa, nao wataijenga miji iliyoachwa maganjo, na kukaa ndani yake; nao watapanda mizabibu katika mashamba, na kunywa divai yake; nao watafanyiza bustani, na kula matunda yake. 
15 Nami nitawapanda katika nchi yao, wala hawatang'olewa tena watoke katika nchi yao niliyowapa, asema Bwana, Mungu wako.

Waisraeli walikuwa waasi. Hawakutii amri za Mungu. Mungu alirusu watekwe na adui zao kama adhabu kwa uasi wao. Lakini sasa Mungu anawahurumia na kuwasamehe. Mungu anawaahidi kuwarejesha katika nchi yao na kuwabariki.

Sisi Je! Tumwemacha Mungu? Mungu anatupenda na anatamani tumrejee. Tutubu dhambi zetu na atatusamehe na kutubariki.