Date: 
13-11-2019
Reading: 
2Thessalonians 2:13-17

WEDNESDAY 13TH NOVEMBER 2019 MORNING     

2Thessalonians 2:13-17 New International Version (NIV)

Stand Firm

13 But we ought always to thank God for you, brothers and sisters loved by the Lord, because God chose you as first fruits[b] to be saved through the sanctifying work of the Spirit and through belief in the truth. 14 He called you to this through our gospel, that you might share in the glory of our Lord Jesus Christ.

15 So then, brothers and sisters, stand firm and hold fast to the teachings[c] we passed on to you, whether by word of mouth or by letter.

16 May our Lord Jesus Christ himself and God our Father, who loved us and by his grace gave us eternal encouragement and good hope, 17 encourage your hearts and strengthen you in every good deed and word.

When we think of everything God has given to us; salvation, life, properties, talents and good people around us; it should bring us to our knees in worship and gratefulness to God.

 We have to stand firm and hold fast to the Truths of God's Word as it is contained in the Scriptures.


JUMATANO TAREHE 13 NOVEMBA 2019 ASUBUHI                         

2 WATHESALONIKE 2:13-17

13 Lakini imetupasa sisi kumshukuru Mungu sikuzote kwa ajili yenu, ndugu mliopendwa na Bwana, kwa kuwa Mungu amewachagua tangu mwanzo mpate wokovu, katika kutakaswa na Roho, na kuiamini kweli;
14 aliyowaitia ninyi kwa injili yetu, ili kuupata utukufu wa Bwana wetu Yesu Kristo.
15 Basi, ndugu, simameni imara, mkayashike mapokeo mliyofundishwa, ama kwa maneno, ama kwa waraka wetu.
16 Na Bwana wetu Yesu Kristo mwenyewe, na Mungu Baba yetu, aliyetupenda akatupa faraja ya milele na tumaini jema, katika neema,
17 awafariji mioyo yenu, na kuwafanya imara katika kila neno na tendo jema.

Tunapofikiri juu ya vyote tulivyopewa na Mungu; Wokovu, Uhai, Mali, vipawa na watu wema wanaotuzunguka; hatuna budi kumwabudu na kumshukuru Mungu.

Tunahitaji kusimama imara na kushika kweli ya neno la Mungu kama ilivyo katika maandiko matakatifu.