Date: 
27-04-2019
Reading: 
1Corinthians 15-20

SATURDAY 27TH APRIL 2019 MORNING                                    
1 Corinthians 15:20-23 New International Version (NIV)
20 But Christ has indeed been raised from the dead, the firstfruits of those who have fallen asleep. 21 For since death came through a man,the resurrection of the dead comes also through a man. 22 For as in Adam all die, so in Christ all will be made alive. 23 But each in turn: Christ, the firstfruits; then, when he comes, those who belong to him.


Adam and Eve rebelled against God and sin and death entered the world. But Christ died for us and rose again.  We who are in Christ will not face Eternal death.  Because Christ rose from the dead we too, who trust in Him, will rise again to live with Christ in heaven. Make sure that you are trusting in Jesus Christ as your Lord and Saviour.   

JUMAMOSI TAREHE 27 APRILI 2019 ASUBUHI                             

1KORINTHO 15:20-23

20 Lakini sasa Kristo amefufuka katika wafu, limbuko lao waliolala. 
21 Maana kwa kuwa mauti ililetwa na mtu, kadhalika na kiyama ya wafu ililetwa na mtu. 
22 Kwa kuwa kama katika Adamu wote wanakufa, kadhalika na katika Kristo wote watahuishwa. 
23 Lakini kila mmoja mahali pake; limbuko ni Kristo; baadaye walio wake Kristo, atakapokuja. 
  

Adamu na Hawa walimwasi Mungu na dhambi na kifo zikaingia duniani. Lakini Yesu alikuja duniani . Yeye ambaye ni Mungu alivaa ubinadamu na alikufa msalabani kulipa deni  la dhambi zetu . Yesu alifufuka tena na yu hai. Yupo mbinguni. Kwa sababu Yesu alikufa na kufuka sisi ambao tunamwamini na tunamtegemea tutafufuka pia na tutaishi naye milele mbinguni. Uhakikishe unamtegemea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wako.