Date: 
26-04-2017
Reading: 
1 Corinthians 15:12-19 New International Version (NIV)

WEDNESDAY 26TH  APRIL  2017 MORNING                          

1 Corinthians 15:12-19 New International Version (NIV)

The Resurrection of the Dead

12 But if it is preached that Christ has been raised from the dead, how can some of you say that there is no resurrection of the dead? 13 If there is no resurrection of the dead, then not even Christ has been raised.14 And if Christ has not been raised, our preaching is useless and so is your faith. 15 More than that, we are then found to be false witnesses about God, for we have testified about God that he raised Christ from the dead. But he did not raise him if in fact the dead are not raised.16 For if the dead are not raised, then Christ has not been raised either.17 And if Christ has not been raised, your faith is futile; you are still in your sins. 18 Then those also who have fallen asleep in Christ are lost.19 If only for this life we have hope in Christ, we are of all people most to be pitied.

There are people who doubt or try to disprove the Resurrection. Some who did so became convinced by the evidence that Jesus really did rise from the dead. The whole of our Christian faith hangs on this. Did Jesus really die on the cross for our sins and rise again in victory. In verse 20 of this chapter the Apostle Paul affirms that Jesus did indeed rise from the dead.

Praise the Lord Jesus is risen. We who trust in Him will live forever in heaven.   

JUMATANO TAREHE 26 APRILI 2017 ASUBUHI                   

1 WAKORINTHO 15:12-19

12 Basi, ikiwa Kristo anahubiriwa ya kwamba amefufuka katika wafu, mbona baadhi yenu husema kwamba hakuna kiyama ya wafu? 
13 Lakini kama hakuna kiyama ya wafu, Kristo naye hakufufuka; 
14 tena kama Kristo hakufufuka, basi, kuhubiri kwetu ni bure na imani yenu ni bure. 
15 Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi. 
16 Maana kama wafu hawafufuliwi, Kristo naye hakufufuka. 
17 Na kama Kristo hakufufuka, imani yenu ni bure; mngalimo katika dhambi zenu. 
18 Na hapo wao nao waliolala katika Kristo wamepotea. 
19 Kama katika maisha haya tu tumemtumaini Kristo, sisi tu maskini kuliko watu wote. 
 

Kuna watu ambao wanakataa kuamini kwamba Yesu amefufuka. Kuna watu walifaya utafiti kujaribu kuonyesha kwamba Yesu hakufufuka lakini utafiti ilionyesha ushahidi mwingi kwamba Yesu kweli alifufuka.

Mtu Paulo katika mstari wa 20 wa mlango huu anakiri kwamba Yesu alifufuka. Imani yetu kama wakristo inategemea kifo na kufufuka wa Yesu Kristo.