Date: 
24-06-2017
Reading: 
1 Chronicles 22:19 NIV {1 NYAKATI 22:19}

SATURDAY 24TH JUNE 2017 MORNING                        

1 Chronicles 22:19 New International Version (NIV)

19 Now devote your heart and soul to seeking the Lord your God. Begin to build the sanctuary of the Lord God, so that you may bring the ark of the covenant of the Lord and the sacred articles belonging to God into the temple that will be built for the Name of the Lord.”

The above are some of the words of King David to the leaders of Israel as he urged them to help his son King Solomon to build the Temple for God.

He reminded them that God had given them peace and now was the time to unite in building the Temple for the worship of God.

Let us work together to build the church both physically and spiritually. Each one of us has a part to play.  

JUMAMOSI TAREHE 24 JUNI 2017 ASUBUHI                       

1 NYAKATI 22:19

19 Basi sasa jitieni moyo na nia kumtafuta Bwana, Mungu wenu; inukeni basi, mkamjengee Bwana Mungu mahali patakatifu, ili kulileta sanduku la agano la Bwana, na vyombo vitakatifu vya Mungu, ndani ya nyumba itakayojengwa kwa ajili ya jina la Bwana.

Haya ni sehemu ya maneno ya Mfalme Daudi kwa viongozi wa Waisraeli. Alitaka wamsaidie Mwanaye Mfalme Sulemani kujenga Hekalu la Bwana. Aliwakumbusha kwamba wamepata amani na sasa ni wakati kusaidiana kujenga hekalu.

Sisi wakristo tunapaswa kusaidiana kujenga Kanisa la Kristo kimwili na kiroho. Shughuli hii inatunhusu sisi sote.