JUMAPILI TAREHE 15/03/2015, WATOTO WA SUNDAY SCHOOL YA AZANIA FRONT WALIFANYA MAOMBI YA WATOTO KWA DUNIA.

TENDO HILO LILIFANYIKA KATIKA IBADA YA WATOTO NA WATU WAZIMA PIA.

2015maombi ya watoto04 

Mtoto akiongoza Ibada

2015maombi ya watoto01 

Baadhi ya wazazi walishiriki ibada ya maombi na watoto

2015maombi ya watoto05

Mwalimu Andrew akiwaongoza Watoto

2015maombi ya watoto06

Mwalimu Andrew akitoa somo

2015maombi ya watoto07

2015maombi ya watoto08

Mwalimu Josephina na mwalimu Upendo wakiimba na watoto wa Sunday School

2015maombi ya watoto09

Mwalimu Kivurenge akiwa na mtoto katika maombi

2015maombi ya watoto11

Mwalimu Shakira akitoa somo Darasani

2015maombi ya watoto10

Mwalimu na mtoto wakioimbea Sadaka

2015maombi ya watoto12

Mwalimu Upendo akitoa Somo

2015maombi ya watoto13

Parish Woker akiwasalimia watoto wa Sunday School

2015maombi ya watoto17

Walimu, mzazi na watoto 

2015maombi ya watoto18

Watoto Sunday School wakiimba

2015maombi ya watoto27

Watoto wakisoma maombi

2015maombi ya watoto28

Watoto wakisoma masomo ya Biblia

2015maombi ya watoto29

Watoto wakiwa Ibadani

2015maombi ya watoto24

Watoto wakipokea sadaka za ibada yao.

2015maombi ya watoto16

Wachungaji wakiwa na watoto madhabahuni

2015maombi ya watoto21

Watoto na wchungaji wakifanya maombi madhabahuni

2015maombi ya watoto26

2015maombi ya watoto30

Watoto wakiwa katika sehemu ya mwisho ya ibada ya watu wazima

2015maombi ya watoto23

Mch. Chuwa akitoa baraka

2015maombi ya watoto02

Mchungaji mama Chuwa akifunga ibada

2015maombi ya watoto15

Mch. Henry Mwinuka na Mch. Chuwa wakitoka katika ibada hiyo