
JUMAPILI TAREHE 15/03/2015, WATOTO WA SUNDAY SCHOOL YA AZANIA FRONT WALIFANYA MAOMBI YA WATOTO KWA DUNIA.
TENDO HILO LILIFANYIKA KATIKA IBADA YA WATOTO NA WATU WAZIMA PIA.
Mtoto akiongoza Ibada
Baadhi ya wazazi walishiriki ibada ya maombi na watoto

Mwalimu Andrew akiwaongoza Watoto

Mwalimu Andrew akitoa somo


Mwalimu Josephina na mwalimu Upendo wakiimba na watoto wa Sunday School

Mwalimu Kivurenge akiwa na mtoto katika maombi

Mwalimu Shakira akitoa somo Darasani

Mwalimu na mtoto wakioimbea Sadaka

Mwalimu Upendo akitoa Somo

Parish Woker akiwasalimia watoto wa Sunday School

Walimu, mzazi na watotoÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂ

Watoto Sunday School wakiimba

Watoto wakisoma maombi

Watoto wakisoma masomo ya Biblia

Watoto wakiwa Ibadani

Watoto wakipokea sadaka za ibada yao.

Wachungaji wakiwa na watoto madhabahuni

Watoto na wchungaji wakifanya maombi madhabahuni


Watoto wakiwa katika sehemu ya mwisho ya ibada ya watu wazima

Mch. Chuwa akitoa baraka

Mchungaji mama Chuwa akifunga ibada

Mch. Henry Mwinuka na Mch. Chuwa wakitoka katika ibada hiyo
