Date: 
27-01-2017
Reading: 
Proverbs 12:1-3 (NIV)

FRIDAY 27TH JANUARY 2017 MORN ING                                          

Proverbs 12:1-3  New International Version (NIV)

1 Whoever loves discipline loves knowledge,
    but whoever hates correction is stupid.

Good people obtain favor from the Lord,
    but he condemns those who devise wicked schemes.

No one can be established through wickedness,
    but the righteous cannot be uprooted.

This is some good advice as to what is pleasing to God and what will bring harmony in human relationships.  Good people will obtain favor from the Lord but this is not  discrimination.  God has given us rules to obey. None of us is perfect that is why Jesus had to die for us. But we should all make an effort to do what is right and pleasing to God.

IJUMAA TAREHE 27 JANUARI 2017 ASUBUHI                              

MITHALI 12:1-3

1 Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama. 
2 Mtu mwema atapata upendeleo kwa Bwana; Bali mtu wa hila atahukumiwa naye. 
3 Mtu hatathibitika kwa njia ya uovu; Shina la mwenye haki halitaondolewa kamwe. 
 

Hapo juu ni ushauri kuhusu tabia ambayo inampendeza Mungu na inayoleta amani kati ya binadamu. Mungu hana ubaguzi lakini anapenda wale ambao wanatii amri zake. Hamna mtu ambaye ni kamili, ndio maana Yesu alituifia msalabani ili tusamehewe. Lakini tuwe na bidii kumtii Mungu.