
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, TAREHE 8/03/2015, WAKINAMAMA WA AZANIAFRONT WALIONGOZA IBADA
Viongozi wa Wakinama (mbele) wanakwaya na wahudumu wa ibada wakielekea kanisani

Viongozi na Wahubiri wakiingia kanisani

Wahudumu wakiingia ibadani
ÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂ
Mama Aida mwakisu (kati) akisoma Litujia Ibadani

Kwaya ya Agape wakiimba Ibadani


Kikundi cha matarumbeta wakiwa ibadani

Mwalimu wa kikundi cha matarumbeta, Simon Jengo, akiongoza wimbo

Mama Grace Jengo akihubiri

Kwaya ya upendo wakiimba

Katibu wa umoja wa wanawake (kulia) mama Theudas Msangi akifuatilia Ibada

Mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa Azania Front Mama Apaisaria Kilewo (kati) akiimba na kwaya ya Upendo Ibadani

Baadhi ya Washarika wakiwa katika ibada

Mwekaazina wa umoja wa wanawake Mama Elly Swai (Kulia) akiwa ibadani

Parish worker Mama Fedilia Urasa akitoa matangazo ibadani

Kwaya ya kinamama wakiwa nje ya kanisa


Vongozi na wahubiri wa wanawake wakiwa nje wakifunga ibada

Wahubiri wakiimba kwa kufunga Ibada

Viongozi wa wanawake wakifunga ibada

Viongozi wa umoja wa wanawake wakifunga Ibada
Angalia picha nyingine hapa......
(Picha na habari na Jane Mhina)
