Date: 
13-06-2020
Reading: 
Exodus 3:11-14

SATURDAY 13TH JUNE 2020  MORNING                                                

Exodus 3:11-14 New International Version (NIV)

11 But Moses said to God, “Who am I that I should go to Pharaoh and bring the Israelites out of Egypt?”

12 And God said, “I will be with you. And this will be the sign to you that it is I who have sent you: When you have brought the people out of Egypt, you[b] will worship God on this mountain.”

13 Moses said to God, “Suppose I go to the Israelites and say to them, ‘The God of your fathers has sent me to you,’ and they ask me, ‘What is his name?’ Then what shall I tell them?”

14 God said to Moses, “I am who I am.[c] This is what you are to say to the Israelites: ‘I am has sent me to you.’”

Those who are weak in themselves yet may do wonders being strong in the Lord, and in the power of his might. God's presence puts wisdom and strength into the weak and foolish, and is enough to answer all objections.


JUMAMOSI TAREHE 13 JUNI 2020    ASUBUHI                                

KUTOKA 3:11-14

11 Musa akamwambia Mungu, Mimi ni nani, hata niende kwa Farao, nikawatoe wana wa Israeli watoke Misri?
12 Akasema, Bila shaka mimi nitakuwa pamoja nawe; na dalili ya kuwa nimekutuma ndiyo hii; utakapokuwa umekwisha kuwatoa hao watu katika Misri, mtamwabudu Mungu katika mlima huu.
13 Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n'nani? Niwaambie nini?
14 Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema,Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli;MIMI NIKO amenituma kwenu.

Watu wanaojiona kuwa hawawezi kwa kuzitegemea nguvu zao wenyewe, wanaweza kufanya mambo ya ajabu wakiwa hodari katika Bwana; na kwa nguvu za uweza wake. Uwepo wa Mungu unajaza nguvu na hekima ndani ya mtu mnyonge na mjinga, na unatosha kujibu maswali yote na vipingamizi.