Date: 
01-04-2021
Reading: 
Matthew 26:26-29

THURSDAY 1ST APRIL 2021,    MORNING                                               

Matthew 26:26-29 New International Version (NIV)

26 While they were eating, Jesus took bread, and when he had given thanks, he broke it and gave it to his disciples, saying, “Take and eat; this is my body.”

27 Then he took a cup, and when he had given thanks, he gave it to them, saying, “Drink from it, all of you. 28 This is my blood of the[b] covenant, which is poured out for many for the forgiveness of sins. 29 I tell you, I will not drink from this fruit of the vine from now on until that day when I drink it new with you in my Father’s kingdom.”

This Lord’s Supper pictures that sacrifice that Jesus made for us. Jesus said the bread pictures His body, which bore our sins, and was nailed to the cross. The wine pictures His blood, which was shed as the price for our salvation.

God loves us, and wants us to have fellowship with Him. But just as He is a loving God, He is also a just God, who cannot just let sin go by unpunished.


ALHAMISI TAREHE 1 APRILI 2021     ASUBUHI                                 

MATHAYO 26:26-29

26 Nao walipokuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu
27 Akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, Nyweni nyote katika hiki;
28 kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi.
29 Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.

Sakramenti ya Meza ya Bwana ni kielelezo cha sadaka aliyoitoa Yesu kwa ajilli yetu. Yesu alisema kuwa, mkate unawakilisha mwili wake, ambao unazichukua dhambi zetu, na ulitundikwa msalabani. Divai inawakilisha damu yake, ambayo ilimwagika iwe gharama ya wokovu wetu.

Mungu anatupenda, na anataka tuwe na ushirika naye. Lakini kama vile alivyo Mungu wa upendo, vivyo hivyo ni Mungu wa haki, ambaye hataacha kuiadhibu dhambi.