MATANGAZO YA USHARIKA

 TAREHE 29 JULAI, 2018

SOMO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI HEKIMA ITUINGIZAYO MBINGUNI

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.

2. Wageni: Hakuna wageni waliotufikia na cheti. Alhamisi ijayo tarehe 02/08/2018 tutakuwa na kipindi kingine cha Maombi na Maombezi.  Washarika wote mnakaribishwa. 

3. Jumapili ijayo tarehe 05/08/2018 tutamtolea Mungu fungu la kumi.  Washarika tujiandae

4. Leo mara baada ya ibada ya pili kutakuwa na uchaguzi wa kwaya ya Kinamama.

5. NDOA.

    NDOA ZA WASHARIKA

KWA MARA YA PILI TUNATANGAZA NDOA ZA TAREHE 11/08/2018

          NDOA HII ITAFUNGWA PAROKIA YA MT. GASPAR MBEZI BEACH

Bw. Alan Msaki                     na     Bi Luiana Mero

KWA MARA YA TATU TUNATANGAZA NDOA ZA TAREHE 04/08/2018

SAA 06.00 MCHANA

Bw. Nacha Fredrick Mlaki         na     Bi Mbeyu Sia Issangu

Matangazo mengine ya ndoa yamebandikwa kwenye ubao wa      matangazo Karibu na duka letu la vitabu

7. Ibada za Nyumba kwa Nyumba

    - Upanga: Kwa Mama V. Maro

    - Kinondoni: Kwa Bwana na Bibi Edward Mkony

    - Ilala/Chang’ombe/Mivinjeni: Kwa Dr na Bibi David Ruhago

    - Mjini kati:  Kwa Mama Meena

   

Zamu: Zamu za wazee ni kundi la Kwanza.

Na huu ndio mwisho wa matangazo yetu, Mungu ayabariki.