Whatever kind thing we do for other people we are really doing for Jesus. Tukifanya tendo jema na la ukarimu kwa binadamu wenzetu tumemfanyia Yesu. {Pastor P Chuwa}
Fill your mind with good thoughts so that you will live to please God. Jaza akili yako mawazo mema ili uweze kuishi kwa kumpendeza Mungu. {Pastor P Chuwa}