Mathew 5:21-24
14-10-2020
Love and forgiveness is an important part of being a Christian. Upendo na kusamehe ni sehemu muhimu ya Ukristo. /Pastor Mlaki
1John 3:10-12
12-10-2020
We can say no to the desires of the flesh. Tunaweza kusema hapana kwa tamaa za mwili. /Pastor J Mlaki
Jeremiah 18:5-12
10-10-2020
God is always right. Mungu yuko sawa siku zote.
1Corinthians 9:1-13
08-10-2020
Your offerings make spreading the Gospel possible. Sadaka yako inawezesha Injili kusambazwa…/Pastor J Mlaki.
1Corinthians 6:12-20
06-10-2020
Christ sets us free so that we can do whatever God wants us to do. ..Yesu kristo ametuweka huru ili kwamba tufanye lolote Mungu analotaka. /Pastor J Mlaki
Romans 8:1-4 (Warumi 8:1-4)
05-10-2020
The power of the Holy Spirit, enables us to lead a Christian life. Tunaweza kuishi Maisha ya Kikristo kwa nguvu ya Roho Mtakatifu. /Pastor J Mlaki.
Proverbs 23:13-15 (Methali 23:13-15)
02-10-2020
Every child is born a sinner and needs correction. Kila mtoto amezaliwa mtenda dhambi na anahitaji kusahihishwa.../Pastor J. Mlaki
Mark 9:33-39
02-10-2020
Achieve Honor by serving Jesus. Pata heshima kwa kumtumikia Yesu.
Proverbs 4:1-5 (Methali 4:1-5)
01-10-2020
Christ is the wisdom and the power of God. Kristo ni hekima na nguvu ya Mungu. ../Pastor J Mlaki
Zechariah 8:1-8
25-09-2020
Let's be a blessing to others. Tuwe baraka kwa watu wengine. /Pastor J Mlaki

Pages