Matangazo ya Usharika tarehe 19 Mei 2024
MATANGAZO YA USHARIKA
LEO TAREHE 19 MEI, 2024
SIKU YA KUKUMBUKA KUSHUKA KWA ROHO MTAKATIFU
NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI
ROHO MTAKATIFU NGUVU YETU
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna Mgeni aliyetufikia kwa cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 12/05/2024
4. Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.