Semina hii ilifanyika usharikani Azaniafront ikiongozwa na Mwal. Grace Elirehema kuanzia tarehe 3/8/2017 hadi tarehe 11/8/2017
A delegation of 12 people, 10 youths and 2 Pastors from the Northern Great Lakes Synod of USA visited the Eastern and Coastal diocese of the Evangelical Lutheran Church of Tanzania from 20th June 2017.
EASTER GREETINGS “ For God so loved the world that He gave His one and only Son, that whoever believes in Him shall not perish but have eternal life.” John 3:16
Vijana 8 wakiambatana na viongozi 2, walifanya ziara ya wiki 3 katika kanisa rafiki la Kilutheri la Frondenberg, Ujerumani. Katika ziara hiyo walipata nafasi ya kushiriki mambo mbali mbali ya kikanisa, jamii, na mazingira ya wenzao wa Ujerumani.
Vijana waliokuwa wanafunzi wa Sunday school, siku ya Jumamosi tarehe 21.11.2015 walibarikiwa rasmi kuanza kuhudhuria ibada ya watu wazima baada ya kufuzu mafunzo ya kipaimara waliyosoma kwa muda wa mika miwili.

Wazee wa usharika -mbele- wakiwa wameshika vikapu wakipokea mavuno.
Church elders held baskets to receive Harvest offerings

Jumapili ya tarehe 18 October 2015, Usharika wa Azaniafront uliadhimisha sikukuu ya mavuno iliyopambwa vizuri na kwaya ya Usharika wa Msasani na Kwaya za Usharika pia. Mgeni rasmi alikuwa msaidizi wa Askofu wa DMP, Mch. Chidiel Lwiza, na Ibada iliendeshwa na Mch.
Kama ilivyokawaida kwenye utaratibu wa Kanisa kuwa na siku maalum ya wakinamama, maombi ya dunia, matengenezo ya kanisa nk, tarehe 08-14 Agosti 2016 Ilikuwa ni wiki ya vijana katika Usharika wetu Azania Front.
Ugeni huo ulikuwa na ujumbe wa watu 9, vijana 7 na wachungaji 2. Vijana walikuwa mchanganyiko wa kike na wa kiume. Pia katika wageni hao walikuwepo wafanya kazi , wanafunzi. Unna ni usharika ambao ni rafiki wa usharika wa Azania Front kwa miaka mingi sasa.
Jumapili ya tarehe 3 Aprili 2016, Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa akiambatana na familia yake, alitoa sadaka ya shukrani kwa kumaliza kipindi chake cha uongozi wa KKKT.

Pages