Matangazo ya Usharika tarehe 27 Agosti 2023

MATANGAZO YA USHARIKA TAREHE 27 AGOSTI, 2023

SIKU YA BWANA YA 12 BAADA YA UTATU

NENO LINALOTUONGOZA  NI

MATUMIZI YA ULIMI

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli. 

2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia kwa cheti. 

3. Matoleo ya Tarehe 20/08/2023  

Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.

NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:

0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT

Lipa namba M-PESA – 5795794 – KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL

Matangazo ya Usharika tarehe 6 Agosti 2023

MATANGAZO YA USHARIKA 

TAREHE 06 AGOSTI, 2023

SIKU YA BWANA YA 9 BAADA YA UTATU

NENO LINALOTUONGOZA NI

TUENENDE KWA HEKIMA 

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli. 

2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia kwa cheti. 

3. Matoleo ya Tarehe 30/07/2023   

Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.

NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:

0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT