In God's work, we are only servants. Katika kazi ya Mungu, sisi ni watumishi tu../Pastor J. Mlaki
Jumapili ya Tarehe 13/12/2020, Washarika walishuhudia kwaya ya vijana ikizindua album yenye Jina "Hakuna Jina Lingine" yenye nyimbo 8 katika...
Kwaya ya wanawake ya Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront hivi karibuni ilitembelea kituo cha watoto yatima cha Kiwalani kilichopo jijini Dar es...
Waalimu wa shule ya Jumapili ya Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront, hivi karibuni walihudhuria semina iliyoandaliwa na usharika...