Ibada za Kiswahili za Krismasi 2021 na mwaka mpya.

  1. Ijumaa tarehe 24 saa 1:00 jioni,  Usiku wa Krismasi
  2. Jumamosi tarehe 25  Saa 1:00  na saa 4:30 asubuhi, ibada ya Krismasi.
  3. Jumapili tarehe 26 saa 2:00 asubuhi, ibada ikiambatana na ubatizo wa watoto wadogo.
  4. Ijumaa tarehe 31 saa 1:00 jioni, ibada ya mwisho wa mwaka.
  5. Jumamosi tarehe 1 Januari; saa 2:00 asubuhi, ibada ya mwaka mpya.  

IBADA ZA KAWAIDA

JUMAPILI

Saa 1:00 - 3:30 asubuhi - Ibada ya kwanza;  Saa 3:30 - 5:30 asubuhi - Ibada ya pili

Ibada zote hapo juu zinaambatana na vipindi vya shule ya jumapili

JUMATATU - IJUMAA (Kasoro siku za Sikukuu) Saa 12:00 - 1:00 asubuhi , Ibada ya Morning Glory

ALHAMISI  

Saa 11:00 Jioni - Maombi na Maombezi

                  

Group Articles

No articles yet!