Jumapili ya tarehe 12/10/2014, watoto wa Shule ya Jumapili ya Azania Front na waalimu wao waliaadhimisha sikukuu ya Mikaeli katika ibada zote kwa nyimbo, ngonjera na kukariri mistari ya biblia. Walionyesha umahirina kujiamini katika yote walioonyeshambele ya washarika. Aidha walikuwa na ujumbe uliogusa rika zote.
Jumapili tarehe 15/03/2015, watoto wa sunday school ya azania front walifanya maombi ya watoto kwa dunia.
Tendo hilo lilifanyika katika ibada ya watoto na watu wazima pia.