CHAPLAIN MZINGA AWATEMBELEA WATOTO WA SHULE YA JUMAPILI, TAREHE 7/9/2014
Mchungaji Kiongozi wa kanisa la Azani Front Chaplin Charles Mzinga alipotembelea madarasa ya Sunday School kuwasalimu
na kuwapa baraka watoto.
Habari nyingine za Sunday school......chini
Darasa la Kiingereza la Sunday School wakiwa katika somo.
Watoto wa Sunday School wakifanya mazoezi ya sikukuu ya Mikaeli na Watoto.
Viongozi wa jimbo wa Sunday School wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza kutunga mitihani ya Sunday School
ya Jimbo 2014, zoezi lilofanyika KKKT Buguruni, tarehe 30/08/2014.
(Habari na Picha, Jane Mhina)