Matangazo ya Usharika tarehe 28 Julai 2024

MATANGAZO YA USHARIKA 

TAREHE 28 JULAI, 2024

SIKU YA BWANA YA 9 BAADA YA UTATU

NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI

MUNGU HUPENDEZWA NA MWENYE MOYO WA TOBA 

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli. 

2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia kwa cheti. ili tuwakaribishe.

3. Matoleo ya Tarehe 21/07/2024

4. Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.