Easter Services Schedule 2026 | Azania Front Cathedral
Here is the complete schedule for Easter services that will be held at Azania Front Cathedral.
Don't plan to miss out. Join us at the cathedral to celebrate this holy week.

Here is the complete schedule for Easter services that will be held at Azania Front Cathedral.
Don't plan to miss out. Join us at the cathedral to celebrate this holy week.

Hii hapa Ratiba Kamili ya Ibada za Kipindi cha Sikukuu ya Pasaka 2026.
Usikose kuungana nasi kwenye Nyumba ya Bwana kusherehekea wiki hii takatifu.

DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 29 MACHI, 2026
SIKU YA BWANA YA MWISHO KABLA YA PASAKA
(PALMARUM-SIKU YA MITENDE)
NENO LINALOTUONGOZA NI:
“NDIYE MBARIKIWA AJAYE KWA JINA LA BWANA”
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 22/03/2026
Jumla - Tshs 22,787,500/= +USD 9,153/=+SA RAND 10,+DIRHAM 5
MATOLEO KATIKATI YA WIKI
Siku ya Jumatano, 18 Februari 2026 ilifanyika ibada kuadhimisha Siku ya Jumatano ya Majivu katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front. Ibada hiyo iliongozwa na Mkuu wa Kanisa, Baba Askofu Dkt. Alex Malasusa na kuhudhuriwa na mamia ya washarika pamoja na wageni.