TANGAZO: Mwaliko wa Ziara ya Messiah, USA. Jisajili hapa kushiriki!

Mpendwa Msharika, soma Tangazo lililopo hapa chini ili uelewe nini kinahitajika kuweza kushiriki katika ziara ya kwenda Usharika rafiki wa Messiah nchini Marekani mnamo mwezi Septemba 2025. Pia kama una vigezo vya kushiriki katika ziara hiyo, jiandikishe katika fomu iliyoambatanishwa hapa ili kuanza taratibu za awali za safari hiyo.

Asante.

 

TANGAZO

------------------------------------