Matangazo ya usharika tarehe 27 Machi 2022

MATANGAZO YA USHARIKA

LEO TAREHE 27 MACHI, 2022

NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI

YESU NI MKATE WA UZIMA

1.Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli. 

2.Wageni: Hakuna wageni waliotufikia na vyeti. 

3. Matoleo ya Tarehe 20/03/2022

Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.

NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:

0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT

Namba ya Wakala M-PESA – 5795794 – KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL

Matangazo ya Usharika tarehe 20 Machi 2022

MATANGAZO YA USHARIKA

LEO TAREHE 20 MACHI, 2022

NENO LINALOTUONGOZA NI

TUTUNZE UUMBAJI

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli. 

2. Wageni: Hakuna wageni waliotufikia na vyeti.

3. Matoleo ya Tarehe 13/03/2022