AZF Safari ya Kiimani: MISRI & ISRAEL
Usharika wa Kanisa Kuu la Azania Front, kwa mara ya kwanza katika historia, uliandaa safari ya kiimani na maombi katika nchi za Misri na Israel. Ziara hiyo ilifanyika kuanzia tarehe 6 hadi 16 Novemba 2022.
Ziara hiyo iliongozwa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa Kuu Chaplain Charles Mzinga.