Wazee wa Kanisa na Viongozi wa Vikundi Waingizwa Kazini
Jumapili ya tarehe 18/09/2022 ilifanyika ibada ya kuwaingiza kazini Wazee wa Kanisa pamoja na Viongozi wa Vikundi waliochaguliwa hivi karibuni katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral. Safu mpya ya uongozi itahudumu katika Usharika wa Kanisa Kuu kwa kipindi cha miaka minne (2022-2026).