Matangazo ya Usharika tarehe 23 Januari 2022

MATANGAZO YA USHARIKA

TAREHE 23 JANUARI, 2022

NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI

MUNGU ANAONDOA UBAGUZI

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli. 

2. Wageni: Hakuna wageni waliotufikia na vyeti.

3. Matoleo ya Tarehe 16/01/2022

Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.

NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:

0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT

Namba ya Wakala M-PESA – 5795794 – KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL

Matangazo ya usharika tarehe 16 Januari 2022

MATANGAZO YA USHARIKA

TAREHE 16 JANUARI, 2022

NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI

MUNGU HUTAKASA NYUMBA ZETU

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli. 

2. Wageni: Hakuna wageni waliotufikia na vyeti. 

3. Matoleo ya Tarehe 09/01/2022