-
Omba! Mungu anasikia kuomba kwetu./ Heri Buberwa.
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 05 MEI, 2024
SIKU YA BWANA YA 5 BAADA YA PASAKA
NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI
OMBENI NANYI MTAPATA
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna Mgeni aliyetufikia kwa cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 28/04/2024
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT