Isaiah 58:10-14
06-08-2019
God promises to bless His people when they obey Him. Mungu anaahidi kubariki watu wake wanaomtii. {Pastor P Chuwa}
Romans 1:8-13
05-08-2019
Meeting together weekly in a House to House Fellowship group is a good way to strengthen your faith and encourage others.  Kuhudhuria  Ibada za Nyumba kwa Nyumba kila wiki ni njia nzuri kujengwa katika imani yako na kuwasidia na kutia moyo wakristo wenzako. {Pastor P Chuwa}
Mathew 22:34-40
03-08-2019
All of God's commandments are important. Amri zote za Mungu ni muhimu. {Pastor P Chuwa}
Proverbs 19:17 (Mithali 19:17)
02-08-2019
God give us wisdom as to whom to help and what is appropriate help. Mungu atupe hekima tumsaidie nani na kwa njia gani. {Pastor P Chuwa}     
1 Thessalonians 5:12-13
01-08-2019
Pray for Church leaders. Waombee viongozi wa Kanisa. {Pastor P Chuwa}
Mark 10:1-12
30-07-2019
What God has joined together, let no one separate. Alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe. {Pastor P Chuwa}
Hebrews 13:1-3 (Waebrania 13:1-3)
29-07-2019
Whatever kind thing we do for other people we are really doing for Jesus. Tukifanya tendo jema na la ukarimu kwa binadamu wenzetu tumemfanyia Yesu. {Pastor P Chuwa}
Mark 8:31-38
25-07-2019
Let us take up our cross daily and follow Jesus. Tuchukue misalaba yetu kila siku na kumfuata Yesu. {Pastor P Chuwa}
Matthew 4:18-22
23-07-2019
You can serve God wherever He has placed you. Unaweza kumtumikia Mungu pale alipokuweka. {Pastor P Chuwa}
Philippians 4:8-9
22-07-2019
Fill your mind with good thoughts so that you will live to please God.  Jaza akili yako mawazo mema ili uweze kuishi kwa kumpendeza Mungu. {Pastor P Chuwa}

Pages