2Corinthians 5:6-10
16-08-2019
Depend on Jesus for your salvation. Mtegemee Yesu kwa wokovu wako. {Pastor P Chuwa}
Matthew 7:13-14
14-08-2019
Jesus is the way to Heaven. Yesu ndio njia ya kufika Mbinguni. {Pastor P Chuwa}
John 6:37-40 (Yohana 6:37-40)
13-08-2019
Praise God for your salvation.  Mshukuru Mungu kwa wokovu wako. {Pastor P Chuwa}
Proverbs 3:21-26 (Zaburi 3:21-26)
10-08-2019
Start your day with God. Anza siku yako na Mungu. {Pastor P Chuwa}
Romans 4:1-8 (Warumi 4:1-8)
09-08-2019
We are saved by the Grace of God and not by our works. Tunaookolewa kwa neema ya Mungu na sio kwa matendo yetu. {Pastor P. chuwa}
Hebrews 12:14-16
08-08-2019
God wants us to live a Holy life. Mungu anatutaka kuishi maisha matakatifu. {Pastor P Chuwa}
Romans 7:5-6 (Warumi 7:5-6)
07-08-2019
We are saved by Grace. Tunaokolewa kwa neema. {Pastor P Chuwa}
Isaiah 58:10-14
06-08-2019
God promises to bless His people when they obey Him. Mungu anaahidi kubariki watu wake wanaomtii. {Pastor P Chuwa}
Romans 1:8-13
05-08-2019
Meeting together weekly in a House to House Fellowship group is a good way to strengthen your faith and encourage others.  Kuhudhuria  Ibada za Nyumba kwa Nyumba kila wiki ni njia nzuri kujengwa katika imani yako na kuwasidia na kutia moyo wakristo wenzako. {Pastor P Chuwa}
Mathew 22:34-40
03-08-2019
All of God's commandments are important. Amri zote za Mungu ni muhimu. {Pastor P Chuwa}

Pages