Exodus 2:1-10 (Kutoka 2:1-10)
30-09-2019
God has a good plan and purpose for you. Mungu ana mpango na kusudi jema kwa ajili yako. {Joseph Mlaki, Theologian}
Matthew 17:24-27
27-09-2019
Jesus paid the penalty for our sins. Yesu alibeba adhabu ya dhambi zetu. {Joseph Mlaki, Theologian}
2 Chronicles 7:1-10 (2 Nyakati 7:1-10)
26-09-2019
God requires true worship. Mungu anataka ibada ya kweli. {Joseph Mlaki, Theologian}
Luke 2:22-24
25-09-2019
Make God part of your daily life. Mungu awe sehemu ya maisha yako kila siku. {Joseph Mlay, Theologian}
2 Corithians 8:12-15
24-09-2019
We can never repay God.  We can just serve Him and love Him in return. Kamwe hatuwezi kumlipa Mungu.  Tunachoweza kufanya ni kumtumikia na kumpenda. {Joseph Mlaki, Theologian}
Exodus 36:2-7
23-09-2019
God requires us to give ourselves to Him before we give what we have. Mungu anahitaji tujitoe miili na roho zetu kwake, kabla ya kumtolea mali zetu. {Joseph Mlaki, Theologian}
Jeremiah 22:13-14
21-09-2019
Use the power of your position justly. Tumia mamlaka uliyonayo kutenda haki. {Joseph Mlaki, Theologian}
Psalm 15:1-5 (Zaburi 15:1-5)
20-09-2019
God also expects to be praised by the life we live outside the church building. Mungu anataka maisha yetu nje ya nyumba ya ibada yamtukuze yeye. {Joseph Mlaki, Theologian}
Zechariah 8:16-17
19-09-2019
Prophet Zechariah not only condemns open wrongs, but also the hidden purposes of evil. Nabii Zakaria hakemei tu yale maovu yanayoonekana kwa macho, bali pia makusudio ya uovu yaliyofichika mioyoni mwa wanadamu. {Joseph Mlaki, Theologian}
Yakobo 1:26
13-09-2019
Chunga sana ulimi wako. Keep a tight reign on your tongue.

Pages