John 13:1-18 (Yohana 13:1-18)
09-04-2020
Let us learn to serve one another with love. Tujifunze kutumikiana sisi kwa sisi kwa upendo..../Pastor J. Mlaki
2Corinthians 4:16-18
07-04-2020
Lean on Christ when facing hardships. Ukiwa na hali ngumu, mtegemee Yesu..../Pastor J. Mlaki
John 3:22-30 (Yohana 3:22-30)
06-04-2020
Christians need to grow in humility. Wakristo tutafute kuwa wanyenyekevu. .../Pastor J.Mlaki
Job 33:13-26 (Ayubu 33:13-26)
02-04-2020
Our God is so much greater than man, his thoughts are not our thoughts, his ways are not our ways. Mungu wetu ni mkuu zaidi sana kuliko mwanadamu, mawazo yake si mawazo yetu, njia zake si njia zetu...../Pastor J. Mlaki
2 Corinthians 4:14-19 (2 Wakorintho 4:14-19)
01-04-2020
Christ died for everyone so that those who believe in Him will be saved. Yesu alikufa kwa ajili ya wote ili wale waaminio waokolewe. ../Pastor J. Mlaki
Genesis 14:8-15 (Mwanzo 14:8-15)
31-03-2020
Jesus Christ is the peace maker. Yesu Kristo ndiye Bwana wa amani.
Joshua 5:10-12
28-03-2020
We need to trust and obey God. Tunahitaji kumwamini na kumtii Mungu.../Pastor J Mlaki
1 Corinthians 11:23-28
27-03-2020
The Lord’s Supper reminds us of the atonement for our sins. Ushirika Mtakatifu unatukumbusha jinsi Kristo alivyojitoa kufa msalabani ili awe fidia ya dhambi zetu...../Pastor J. Mlaki
Isaiah 55:1-3
24-03-2020
Live in his presence and rely on his provision. Ishi katika uwepo wake na kumtegemea yeye. .../Pastor J. Mlaki
John 9;35-41
18-03-2020
Jesus is the Lord over all creation. Yesu ni mkuu juu ya uumbaji wote.../Pastor J Mlaki

Pages