Mark 10:1-12
30-07-2019
What God has joined together, let no one separate. Alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe. {Pastor P Chuwa}
Hebrews 13:1-3 (Waebrania 13:1-3)
29-07-2019
Whatever kind thing we do for other people we are really doing for Jesus. Tukifanya tendo jema na la ukarimu kwa binadamu wenzetu tumemfanyia Yesu. {Pastor P Chuwa}
Mark 8:31-38
25-07-2019
Let us take up our cross daily and follow Jesus. Tuchukue misalaba yetu kila siku na kumfuata Yesu. {Pastor P Chuwa}
Matthew 4:18-22
23-07-2019
You can serve God wherever He has placed you. Unaweza kumtumikia Mungu pale alipokuweka. {Pastor P Chuwa}
Philippians 4:8-9
22-07-2019
Fill your mind with good thoughts so that you will live to please God.  Jaza akili yako mawazo mema ili uweze kuishi kwa kumpendeza Mungu. {Pastor P Chuwa}
Proverbs17:15-26
20-07-2019
We are all sinners before God. Sote tumetenda dhambi mbele za Mungu.
Jude 1:19-25 (Yuda 1:19-25)
18-07-2019
Trust in Jesus to overcome sin. Mtegemee Yesu ili uishinde dhambi. {Pastor P.Chuwa}
Mark 5:21-24
16-07-2019
Come to Jesus in prayer and ask for His help. Njoo kwa Yesu kwa maombi ya mahitaji yako.
1 Samuel 12:1-7
15-07-2019
We are called to act in Justice and Mercy. Tunaitwa kutenda haki na huruma. {Pastor P Chuwa}
Hebrews 13:5-6 (Ebrania 13:5-6)
08-07-2019
Remember to commit all our work into God’s hands. Kumbuka kukabidhi kazi zako zote kwa Mungu. {Pastor P Chuwa}

Pages