John 5:10-18
22-10-2019
Jesus Christ can change our lives, but we have to respond to him in faith. Yesu Kristo anaweza kubadili maisha yetu, lakini tunahitaji kutambua hilo kwa njia ya imani. {Pastor Joseph Mlaki}
Luke 8:43-48
21-10-2019
Jesus knows your need and He knows the things in your heart. Yesu anajua mahitaji yako na yaliyoma moyoni mwako. {Pastor Joseph Mlaki}
2Corithians 13:9-5
19-10-2019
Examine yourself, does Jesus live in you? Jichunguze mwenyewe, je Yesu anaishindani mwako? {Pastor Joseph Mlaki}
Romans 9:1-13
18-10-2019
To inherit the kingdom of God, requires being born again in Christ. Kuurithi ufalme wa Mungu, kunahitaji kuzaliwa tena katika Kristo. {Joseph Mlaki, Theologian}
Galatians 3:15-22 (Wagalatia 3:15-22)
17-10-2019
We are made right before God by the grace of Jesus Christ. Tumepatanishwa na Mungu kwa neema ya Yesu Kristo. {Joseph Mlaki, Theologian}
Mathew 15:10-20
14-10-2019
Fill your heart with good thoughts for it is the fountain of your actions. Jaza moyo wako na mawazo mema maana ndio chimbuko la mtendo yako. {Joseph Mlaki, Theologian}
2Kings 4:1-7
12-10-2019
God is greater than any of your problem. Mungu ni mkuu kuliko tatizo lako lolote. {Joseph Mlaki,Theologian}
Exodus 14:26-31 (Kutoka 14:26-31)
11-10-2019
We must fear God; not man. Tunapaswa kumwogopa Mungu, na siyo mwanadamu. {Joseph Mlaki, theologian}
Daniel 6:18-24
10-10-2019
We must trust in God’s power and faithfulness. Tunapaswa kuamini nguvu za Mungu na uaminifu wake. {Joseph Mlaki, Theologian}
2Kings 14:1-16 (2Wafalme 14:1-16)
05-10-2019
Learn to right and seek justice. Jifunze kufanya mema na kupigania haki. {Joseph Mlaki, Theologian}

Pages