Ephesians 4:11-16 (Efeso 4:11-16)
11-06-2019
Ask God to show you your role in His church. Mwombe Mungu akuonyeshe nafasi yako katika kanisa lake. {Pastor P Chuwa}
Psalm 80:7-11, John 7:37-39, Isaiah 41:14-18 (Zaburi 80:7-11, Yohana 7:37-39, Isaya 41:14-18)
10-06-2019
Spreading of the Holy Spirit. Kuenea kwa Roho Mtakatifu. {Pastor P. Chuwa}
James 1:5-11 (Yakobo 1:5-11)
08-06-2019
Pray to God for wisdom. Omba Mungu akupe busara. {Pastor P Chuwa}
Jeremiah 31:7-9
07-06-2019
God promised to bring blessings to his people. Mungu ameahidi kuwabariki watu wake. {Pastor P Chuwa}
2 Corinthians 5:1-10 (2 Korintho 5:1-10)
05-06-2019
Let us live to please God and prepare for Eternal Life in heaven. Tuishi kwa kumpendeza Mungu tukijiandaa kwa maisha ya milele Mbinguni. {Pastor P Chuwa}
Isaiah 38:1-8
04-06-2019
Bring your requests to God in faith. Peleka mahitaji yako kwa Mungu kwa imani. {Pastor P Chuwa}
Deuteronomy 9:25-29 (KUMBUKUMBU LA TORATI 9:25-29)
03-06-2019
We can pray for forgiveness on behalf of other people or the nation. Tunaweza kutubu kwa niaba ya wengine na kw taifa pia. {Pastor P Chuwa}
2Kings 2:11-18 (Wafalme 2:11-18)
01-06-2019
Be ready for when God calls you. Uwe tayari Mungu akikuita. {Pastor P. Chuwa}
Genesis 5:21-24 (Mwanzo 5:21-24)
31-05-2019
Strive to live in harmony and fellowship with God day by day. Jitahidi kuishi kwa amani na Mungu kila siku. {Pastor P Chuwa}
Psalm 110:1-7, Acts 1:1-5, Luke 24:50-53
30-05-2019
JESUS  CHRIST ASCENDED IN HIS GLORY. AMEPAA KATIKA UTUKUFU WAKE. {Pastor P Chuwa}

Pages