Romans 15:14-21 (Waroma 15:14-21)
26-05-2018
Belivers in Christ have the duty to preach the Gospel to all Nations. Waumini wa Yesu wana jukumu la kuhubiri injili kwa mataifa yote
John 20:19-23
24-05-2018
Through the Holy Spirit servants of the Lord are enabled to do God's work...Kwa nguvu za Roho Mtakatifu watumishi wa Bwana wanapewa nguvu ya kufanya kazi yake. {Elder C Swai}
Daniel 9:17-19
19-05-2018
God hears our prayers. Mungu anasikia mombi yetu. {Pastor P Chuwa}
Jeremiah 29:12-14 (Yeremia 29:12-14)
18-05-2018
Seek God with all your heart and you will find Him... Mtafute Mungu kwa moyo wako wote, nawe utamwona. {Pastor P Chuwa}
Luke 11:9-13
16-05-2018
Let au persevere in prayer..Tuvumilie kwenye maombi. {Pastor P. Chuwa}
Daniel 9:20-23
15-05-2018
Remember to pray for others during your prayers....Kumbuka kuomba kwa ajili ya wengine unapokuwa kwenye maombi. {Pastor P Chuwa}
Ephesians 1:20-23 (Waefeso 1:20-23)
12-05-2018
Honor Christ daily in your life. Mheshimu Kristo kila siku katika maisha yako. {Pastor Prudence Chuwa}
Acts 1:9-12 (Matendo 1:9-12)
11-05-2018
Jesus is in heaven now. He will come again in glory to judge the living and the dead... Yesu yuko mbinguni sasa, na atarudi tena dunuani kwa utukufu kuwahukumu walio hai na wafu. {Pastor Prudence Chuwa}
John 16:23-24 (Yohana 16:23-24)
09-05-2018
Before praying, worship God. Kabla ya kuomba mwabudu Mungu. {Pastor P Chuwa}
Nehemiah 1:1-11
08-05-2018
Nehemiah prayed for his people, you too can pray for others. ..Nehemia aliomba kwa ajili ya watu wake, wewe pia unaweza kuomba kwa ajili ya watu wengine.

Pages