John 3:30 (Yohana 3:30)
07-06-2018
“He must become greater, I must become less” “Yeye hana budi kuzidi, bali mimi kupungua” {Elder S Jengo}
Matthew 5:27-32 (Matayo 5:27-32)
06-06-2018
Guard your heart against evil thoughts...Chunga moyo wako na mawazo mabaya. {Elder C. Swai}
John 12:39-43 (Yohana 12:39-43)
05-06-2018
Stand up for Jesus in your society..Mtetee Yesu katika jamii yako. {Elder C. Swai}
Jeremiah 26:1-6 (Yeremia 26:1-6)
04-06-2018
If we repent our sins and return to God, he will forgive and favour us...Ikiwa tutatubu dhambi zetu na kurudi kwa Mungu, atatusamehe na kutuhurumia...{Elder C Swai}
2 Corinthians 13:14 (2 Wakorintho 13:14 )
02-06-2018
God Loves us all the time. Mungu anatupenda kila wakati. {Elder C. Swai}
John 15:1-8 (Yohana 15:1-8}
01-06-2018
We cannot do the Lord's work without having Christ in us..Hatuwezi kufanya kazi ya Bwana bila kuwa na Kristo ndani yetu. {Elder C Swai}
1 John 4:1-3 (1 Yohana 4:1-3)
31-05-2018
Read the Bible and pray for the Holy Spirit to reveal God's word so you are not miss-led by false teachings. Soma Biblia na umwombe Roho Mtakatifu akufunulie ujumbe wa Mungu ili usipotoshwe na mafundisho ya uongo. {Elder C. Swai}
Romans 8:5-11 (Waroma 8:5-11)
30-05-2018
Let's not dwell in the desires of the flesh but in the Holy Spirit that brings eternal life. Tusidumu katika mambo ya ulimwengu huu bali katika Roho Mtakatifu aletaye uzima wa milele.
1John 5:7-12 (1Yohana 5:7-12)
29-05-2018
God has given us a way to eternal life through his son Jesus Christ. Mungu ametupa njia ya uzima wa milele kupitia kwa mwanae Yesu Kristo.
Romans 15:14-21 (Waroma 15:14-21)
26-05-2018
Belivers in Christ have the duty to preach the Gospel to all Nations. Waumini wa Yesu wana jukumu la kuhubiri injili kwa mataifa yote

Pages