Hebrews 13:17-19 (Waebrania 13:17-19) - 31-07-2018
Respect those in authority. Waheshimu viongozi. {Pastor P Chuwa}
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 15 JULAI, 2018
SOMO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI NEEMA YA MUNGU YATUWEZESHA KUZAA MATUNDA MEMA
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2 Wageni: Hakuna wageni waliotufikia na cheti.